Chimba Kisima cha Mkono na Selash Engineering – Suluhisho La Kudumu Kwa Uhaba wa Maji
Katika miji na vijiji vingi vya Tanzania – ikiwemo Dar es Salaam – uhaba wa maji bado ni changamoto ya kila siku. Familia nyingi hutegemea maji ya kununua au kusubiri mabomba yawe na presha, hali inayokatisha tamaa na kuongeza gharama za maisha. Lakini je, umewahi kufikiria kuwa na kisima chako cha nyumbani kwako au kwenye […]
Read More