đźš— Unapokosa GPS Tracker, unakosa yafuatayo:
❌ Huwezi kujua chombo chako kiko wapi kwa muda halisi
❌ Ukiporwa huwezi kukifuatilia
❌ Huwezi kuona matumizi ya mafuta na safari za dereva wako
âś… Ukiwa na GPS Tracker:
âś” Unajua mahali chombo chako kilipo muda wote
âś” Unaweza kuzima injini kwa simu yako iwapo kimeibwa
âś” Unaweza kufuatilia matumizi ya mafuta na kasi ya chombo
đź’ˇ Jiandae kabla ya tatizo kutokea! Weka GPS Tracker leo!Â